
Katibu
wa Baraza la Wawakilishi Yahya Khamis Hamad akizungumza na Waandishi wa
Habari kuhusu shughuli za Mkutano wa 16 wa Baraza la Nane la
Wawakilishi utakaoanza tarehe 14 Mei 2014 katika Ukumbi wa Baraza hilo
Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.

Mwandishi
wa Habari wa gaazeti la Daly News Issa Yussuf akiuliza maswali katika
mkutano na Katibu wa Baraza la Wawakilishi Yahya Khamis Hamad
alipokutana na waandishi wa Habari kuzungumzia shughuli za Mkutano wa 16
wa Baraza la Nane la Wawakilishi utakaoanza tarehe 14 Mei 2014 katika
Ukumbi wa Baraza hilo Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.







0 comments:
Post a Comment