Kwa mbali ukiambiwa The Jackson
5 ndio hawa utakubali kuwa ni Michael Jackson yupo nao kumbe ni shabiki
aliyebadilisha muonekano na maisha yake kuendana na Michael Jackson.
Kaka wanne wa Michael walikuwa walikuwa kwenye tamasha mjini Vegas na
walikutana na shabiki huyu.
Carlo Riley ni shabiki mkubwa wa Michael
aliyekutana na kaka zake Jermaine, Tito, Marlon na Jackie na alishawahi
kukutana na Michael mwaka 2007 nchini Japan.







0 comments:
Post a Comment