Wednesday, April 9, 2014

News: Gosby auliza mashabiki wimbo wanaoutaka

 
Katika hali ambayo inaonekana kutaka kutengeza muziki utakaopendwa zaidi na mashabiki wake, Hit maker wa Monifere ambaye ameshirikisha mwanadada Vanessa Mdee, Gosbykupitia ukurasa wake aliwauliza mashabiki wake aina ya gani ya muziki ufuate baada ya ngoma hiyo ya Monifere.

 

0 comments:

Post a Comment