Wednesday, April 9, 2014

Birdman amzawadia Justin Beiber gari aina ya Bugatti

Justin Bieber hivi sasa ana gari mpya aina ya BUGATTI hii ni zawadi aliyopewa na rafiki yake, Rapper BIRDMAN wa Cash Money.
Bugatti mpya ya Justin Bieber
Kupitia ukurasa wake wa instagram justin Bieber amepost picha ya Bugatti mpya aliyo zawadiwa na birdman nakuandika maneno haya

“Uncle Stunna luv. My first Bugatti #generosity”

Birdman, Mkali wa hip-hop ambae pia ni kiongozi wa kundi la Cash money anaejulikana kwa jina la  Uncle Stunna, ameona sio mbaya kumzawadia bwana mdogo zawadi ya buggati

Je, unadhani hii ni ishara ya bieber kujiunga na cash money...?
Credit: Bongoswaggz.com

0 comments:

Post a Comment