Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Samwel Sitta
(kushoto) akisalimiana na aliyekuwa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge hilo Pandu
Ameir Kificho wakati wa Hafla ya kuwaapisha Katibu na Makamu Katibu wa Bunge
Maalum la Katiba.Katikati ni Mjumbe wa Bunge hilo na Waziri wa Katiba na Sheria
Dkt. Asha Rose Migiro Mjini Dodoma.
 |
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (Mwenye tai ya bluu)
akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta (kulia),
Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Bw. na Naibu wa Bunge Hilo Thomas Kashilila (Kushoto
kwa Katibu wa Bunge) Leo Mjini Dodoma.
 |
Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Bw, Yahya Khamis Hamad
akiapa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete Leo
Mjini Dodoma.
 |
Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Yahya Khamis Hamad
akisaini Kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya
Kikwete Leo Mjini Dodoma.
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete
akisaini kiapo baada ya kumuapisha Katibu bunge Bw. Yahya Khamis Hamad
(mbele aliyesimama)
 |
Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Yahya Khamis Hamad
akipokea vitabu vya muongozo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya
Kikwete Leo Mjini Dodoma.
 |
Naibu
Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Thomas Kashilila akiapa mbele ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete Leo Mjini Dodoma
 |
Naibu Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Bw, Thomas Kashilila
akisaini Kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya
Kikwete Leo Mjini Dodoma.
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete
akisaini kiapo baada ya kumuapisha Naibu Katibu bunge Maalum la Katiba Bw.
Thomas Kashilila (aliyesimama)
|
|
|
|
|
|
|
|
|
0 comments:
Post a Comment