6:35 AM
Wakazi wa
Kalenga A wakiwa kwenye wamejipanga mstari wakati wa kupiga kura ambapo
vyama vitatu vimesimamisha waogombea katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la
Kalenga vyama hivyo ni CCM,CHAUSTA na CHADEMA.
Wakina Mama wa Kalenga A wakiangalia majina yao kwenye orodha ya wapigaji kura iliyobandikwa kwenye kituo cha upigaji kura.
Bibi Zaina Konji akipata msaada kutoka kwa Susan Madugulu wakati wa upigaji kura kata ya Ulanda kijiji cha Mangalali.
Bibi Zaina Konji
akipiga kura kutimiza haki yake ya kisheria katika kumchagua mbunge
wake wa jimbo la Kalenga atakayewaongoza katika kipindi kilichobaki.
Msimamizi wa
kituo cha kupiga kura kata ya Ulanda Lenny Kikungwe akitoa maelezo kwa
mmoja wa wananchi waliojitokeza kupiga kura .
Uhakiki wa jina la mpiga kura ukifanywa kwa umakini wakati zoezi la upigaji kura likiendelea katika uchaguzi mdogo wa Kalenga.
0 comments:
Post a Comment