
Rais Kikwete akihutubia wajumbe wa Bunge Maalum

Rais Kikwete akisisitiza jambo katika hotuba yake

Waziri
Mkuu Mhe Mizengo Pinda akifurahia jambo na Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Mhe Pandu Ameir Kificho, na Mhe Mohamed Seif Khatib na wajumbe wengine.
PICHA NA IKULU
======= ======= =======
SOMA HAPA CHINI HOTUBA YAKE

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma leo

Makamu
wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed
Chande Othman na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassa Mwinyi na
wajumbe wakifuatilia hotuba ya Rais Kikwete leo

Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad, Jaji Mkuu wa
Zanzibar Mhe Makungu na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe Amani Abeid Karume
na wajumbe wakisikiliza hotuba ya Rais Kikwete leo

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Tundu Lissu akigonga meza kuashiria kukunwa na hotuba ya Rais Kikwete

Mjumbe wa Bunge Maalum Mhe Freeman Mbowe akishangilia hotunba ya Rais Kikwete.







0 comments:
Post a Comment