Thursday, July 25, 2013

Kiganja cha Mkono Kikubwa Zaidi


Kiganja cha mkono kikubwa zaidi upo katika jangwa la Atacama nchini Chile, kiganja hicho kimejengwa kwa mchanganyiko wa saruji na madini ya chuma kina urefu wa mita 11, msanii aliyechonga mkono huo ni Mano de Desierto. Kiganja hicho kimekuwa ni kivutio kikubwa cha watalii ambapo wamekuwa wakiminika kuona kiganja hicho.

0 comments:

Post a Comment