Hii inatajwa kuwa pool kubwa zaidi
duniani kiasi cha kufanikiwa kuingia katika kitabu cha rekodi cha dunia ‘Guiness’.
Pool hii ambayo iko nchini Chile, ilifunguliwa rasmi Desemba 2006, baada ya kukamilika kwa ujenzi wake uliochukua miaka mitano uliogharimu Pound Bilioni Moja.
Pool hiyo inatumia mfumo wa kompyuta
wa kompyuta katika kuifanyia usafi na pia kubadili maji. Inajulikana kama San
Alfonso del Mar resort.
0 comments:
Post a Comment