Mambo
vipi, Ni kitambo kirefu sana nimekuwa kimya kutokana na maswala ya shule ila
sasa kidogo nimetulia. NImeamua kuuachia wimbo huu unaitwa ROHO MBAYA ambao
nimewashirikisha BELLE 9 na PIPI kama zawadi yangu kwa fans wangu, lakini
official single ya mwaka huu inafuata siku si nyingi. wimbo huu beat ilifanywa
na Duke wa M-Lab na vocals zilifanywa na Tetemesha Records mwaka juzi.
Tegemeeni mengi mazuri kutoka kwangu kwa mwaka huu. Mawasiliano yangu ni 0763
698208 0714 316745
0 comments:
Post a Comment