Watu wanaosadikiwa
kuiba vitu vya Marehemu Hussein Mkieti ‘Sharo Millionea’ aliyefariki kwa ajari
ya gari katika kijiji cha Songa Kibaoni wilayani Muheza, wamesalimisha baadahi
ya vitu hivyo kwa mwenyekiti wa kijiji hicho huku wao wakiendelea kuishi mafichoni
kuogopa kutiwa mbaroni.
Hatua ya watu hao
kusalimisha vitu hivyo imekuja kufuatia hatua ya mkuu wa wilaya hiyo Subira
Mgalu ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kuwatangazia
kwamba wote walifanya jambo hilo watasakwa na kuchukuliwa hatua za kisheria.
0 comments:
Post a Comment