
Msanii
wa Hip Hop kutoka mwanza city almaarufu kama Fid Q, baada ya
kutangaza katika blog mbalimbali kwamba ameandaa kituo chake cha mafunzo
ya Hip Hop huko maeneo ya mikocheni,sasa leo kupitia katika ukurasa wake
wa facebook aliweza kuandika kwamba siku ya kesho anatarajia kuachia ngoma mpya
kutoka kwa mwanafunzi wake.

0 comments:
Post a Comment