Mshindi wa shindano la Epiq
Bongo Star Search 2012(EBSS),Walter Chilambo akikabidhiwa
sanduku lake lenye kitita cha Sh. milioni 50 usiku wa kuamkia leo ndani
ya ukumbi wa Diamond Jubilee,pia katika shindano hilo lililovuta hisia za watu
wengi sana,mshindi wa pili amechukua mwanadada Salma Abushir(Zanzibar)
na watatu ni Wababa Mtuka(Dar).
![]() |
|
Majaji
wakiwa Kwenye wakiendelea na shughuli ngumu ya kuchagua wasanii
|
![]() |
|
Nsami
& Barnaba wakiimba kwa pamoja
|

![]() |
|
Walter,
Godfrey, Wababa, na Norman
|
![]() |
|
Ditto
na Walter wakipeform pamoja
|
|
Maddam
Rita akimfanyia Make Up Salama, kulia ni Master Jay
|
![]() |
|
Salma
& Walter
|
|
Salma
Abushiri
|
|
Pah
One
|
![]() |
|
Linah
& Amini
|














0 comments:
Post a Comment