Wednesday, November 7, 2012

The Beatdown "Party Anthemz" @ SYNERGY LOUNGE

 
Marafiki Wote Tunakutana Tena SYNERGY LOUNGE Oysterbay Kwenye The “BeatDown” IJUMAA HII.
 Baada Ya Shughuli Nzito Sana Ya YOLO Ijumaa iliyopita,Kama Kawa Kama Dawa Djz Wamejipanga Vizuri Kukupa Burudaniiiii Ile Yenyeweee,Dj Steve B/Dj Skillz,Dj Bike Na Dj Dave Kwenye Moja Halafu Na Mbili…Ni Mwendo Wa Ngoma Za Town Mwanzo-Mwisho,Rnb!Hip hop!Ragga!Pop!Kwaito N Naija All In The Mix,Kwa Yoyote Mwenye Birthday Ijumaa Hii Tarehe 9.11.2012 Anakaribishwa Sana Na Atapatiwa VIP Treatment,Ataimbiwa Happy Birthday,Atapigiwa Nyimbo Zake Anazozipenda Na Shout Outs Nyingi Sana Kwa Ajili Yake,Kingilio Ni sh 10,000 Kuanzia Saa Tatu Usiku…Ni The BeatDown “Party Anthemz” @ Synergy Lounge Kila Ijumaa…!!!  
  Thats Wassup

 

0 comments:

Post a Comment