Msanii
kutoka pande za Ilala anayetamba na hits kama “Mdananda” na “Nidanganye” along
side Diamond Platnumz, Nurdin Bilal Ally alias Shetta sasa yupo mbio kuja na
ujio wake mpya baada ya kutamba na ngoma zake hizo.
Latest
infoz kutoka kwa Shetta zinasomea kuwa ifikapo November 25 ya mwaka huu
ataachia ngoma yake mpya kwa jina la “Bonge la Bwana“. Single yake hiyo mpya
amempa collabo mkali toka Tanzania House of Talent {THT} mwanadada Linah....
Baada
ya kusema hayo aliongeza kwa kusema ngoma hiyo mpya ataitambulisha rasmi ndani
ya New Maisha Club siku ya November 25, baada ya hapo ndipo itaanza kwenda
rasmi katika vituo mbalimbali vya Radio. Hii chini ni mmoja ya tweet ya Shetta
ikiwa ni taarifa juu ya ujio wa ngoma yake hiyo mpya.








0 comments:
Post a Comment