Monday, November 12, 2012

"NILIPOMSIKILIZA Walter wa Bss NILIGUNDUA KITU" Diamond

 
Kiukweli muda wangu uwa ni mchache sana kukaa kwenye TV,ila siku ambayo Walter aliimba wimbo wa Mawazo nilikuwa home.....nikamsikiliza kwa umakini sana nakugundua anakitu ndani yake, namaanisha ana uwezo wa ziada na nafasi nzuri katika muziki wa Tanzania, swala la kufika level za kimataifa hilo ni swala la sisi watanzania kumwezesha pamoja na Yeye kuwa under management makini hasa kipindi hichi anachoanza kuingia katika fani hii ya muziki....nilimpigia kula nikijiamini Walter ndiye mshindi wangu na kweli hajaniangusha....Nimefurahi sana. Nakutakia kila La Heri.

0 comments:

Post a Comment