Hii Ilikuwa Twitter ya Msanii
Kutoka Marekani Keri Hilson kuhusu kufanya Show Nchini Kenya Na Tanzania Mwaka
Huu.Mtanzania `@AdelaidaSmart' ambaye ni
shabiki wa Keri alimuliza kama anakuja Tanzania ,Keri alijibu Kuwa Anakuja
Tanzania December.Kwa sasa keri Hilson Yupo Nchini Nigeria Kwa Tamasha Lake.







0 comments:
Post a Comment