Alikiba akiwa na Baucha
Wakongwe wa mziki wa kizazi kipyaa wameamua kurudi kwenye kazi yao kwa
madai wasanii wengi wanachipukia swaga rangi nyingi mpaka macho
yanaumia, maneno hayo aliyasema c.e.o wa baucha rec ambae alikuwa
location akiwa anafanya ngoma yake mpya baada ya kukaa kimya zaid ya
miak 7.
ARTIST….BAUCHA feat: ALI KIBA
TRACK….KELELE
STUDIO……. BAUCHA RECORDS..
PRODUCER…JOSE A.K.A SUMU.
VIDEO TUMEFANYA NA EXTREEM.
NA INATARAJIWA KUITOA SOON TU IPO KWENYE MAADALIZI YA MWISHO KUITOA
0 comments:
Post a Comment