WASANII wanaounda kundi la ‘Together Group’, Salma Jabu ‘Nisha’ na Frola Mvungi,
wamedai kuwa wameshaachia ngoma yao inayokwenda kwa jina la ‘Sinaga’
ikiwa katika video na Audio.
Mastaa hao wanaotesa ndani ya bongo movie wamesema kuwa tayari
wimbo wao umeanza kupigwa kwenye vituo mbalimbali vya redio na televisheni.
Akizungumza na mwandishi wetu Frola Mvungi alisema kuwa baada ya kazi hiyo wakutakuwa katika maandalzii mengine mengi ambapo wimbo wao wa pili watakaokwenda kuufanyia Kenya.
“Kuna nyimbo ya pili inakuja lakini huu tunaenda kuufanyia Kenya pamoja na msanii wa huko, hivyo tunasubili ili tuone kazi itakuwaje halafu baada ya hapo ndio tutajua mipango inakuwaje,” alisema Flora .
Hata hivyo msanii huyo aliongeza kuwa mipango na malengo yao katika tasnia ya mziki ni kuonesha uwezo wao kwani wamekuja kuwafunika na kuwaonyesha wale wanaojiona wanaweza vipaji vyao vilivyo.

0 comments:
Post a Comment