![]() |
Bou Nako akiwa na Fi Do |
Kabla ya hapo Bou Nako alikuwa kwenye kundi la Nako2Nako Soldiers, na baadae akajiunga na Vinega kabla ya kuamua kurudisha majeshi nyumbani kwa kuungana na raia wa pande hizo.
"Yap nimeamua kujiunga na Vatocolo, ili kwa pamoja tuweze kusongesha gurudumu hili la burudan. Halafu si unajua hii ni crew ya nyumbani hivyo ni vzuri zaidi nimejiunga" alisema Bou nako.
0 comments:
Post a Comment