
Mijadala
ya hapa na pale kuhusu utengenezaji wa katiba mpya imehusisha sana
majina ya waasisi wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar Hayati Mwalimu
Nyerere na Mzee Karume na hii imemgusa hata Rais Jakaya Kikwete ambae
ameamua kutumia dakika zake mbili kutoa ya moyoni.
0 comments:
Post a Comment