Thursday, February 27, 2014

Producer Mswaki kuja na wimbo wa Ghetto kama kumbukumbu ya marehemu Ngwair

http://distilleryimage3.ak.instagram.com/51db84f29f0e11e38a7412a7658140c3_8.jpgKama tuna kumbukumbu nzuri baada ya Albert Mangwea kufariki, Producer Mswaki him self alitoa wimbo ambao alikopi sauti ya Ngwair. Sasa baada ya kupita mwaka tangu marehemu ngwair afariki Mswaki anakuja na Ngoma nyingine kwa ajili ya Ngwair.....endelea kutembea blog hii sababu utapata kuisikia kupita hapa.

0 comments:

Post a Comment