Tuesday, February 18, 2014

Nu HIT: Sikiliza track ya Babu Ayubu 'Shikamoo Pesa' aliyoigiza sauti za watu kina Temba, Sugu n.k

 
Hii ni Track ya MC Babu Ayubu ambayo ameigiza sauti za wasanii tofauti kama vile Bou Nako, Marehemu Bi.Kidude, Mh Temba,  Inspector Haroun, Ney Wa Mitego, Chidi Benz, Sugu,
Hata hivyo mwisho wa wimbo huo Babu Ayubu ameweka wazi kuwa "Ukiona nimekuigiza kwanza sauti ujue mimi nakukubali, zote ni idea tu washkaji, hamna bifu wala hamna nini, undugu pamoja amani"

0 comments:

Post a Comment