Kulingana na post yake katika ukurasa wake wa mtandao wa facebook, Nameless anajiaanda kuachia ngoma mpya mwakani.
Nameless alitumia nafasi hiyo kuomba msamaha kwa mashabiki wake kwa kuwaacha wanyonge kwa kipindi kirefu. Hata hivyo aliahidi kwamba ataachia albamu mpya mwakani, aliongeza ataachia single Januai 1 mwakani.








0 comments:
Post a Comment