Mratibu
Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Dr. Alberic Kacou akisalimiana na
Kamanda wa Kanda Maalum Dsm, Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP)
Suleiman Kova alipowasili kwenye uzinduzi wa Mpango Mkakati wa miaka
mitatu wa Kuboresha Madawati ya Kijinsia na Watoto ndani ya Jeshi la
Polisi. Tukio hilo lilifanyika Kituo cha Polisi Chang’ombe, Temeke
jijini Dar es Salaam.
Mratibu
Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Dr. Alberic Kacou akibadilishana
mawazo na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Said Mwema.Kulia ni
Kamanda wa Kanda Maalum Dsm, Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP)
Suleiman Kova. Kushoto ni Wanamawasiliano kutoka Ofisi ya Mratibu Mkazi
wa Umoja wa Mataifa Hoyce Temu na Sangita Khadka.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Said Mwema akimtambulisha mgeni rasmi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi kwa baadhi ya
maafisa wa Jeshi la Polisi nchini mara baada ya kuwasilia eneo la tukio.
Mgeni
rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi
akibadilishana mawazo na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Said Mwema
(kushoto) na Kulia ni Kamanda wa Kanda Maalum Dsm, Kamishina Msaidizi
wa Jeshi la Polisi (ACP) Suleiman Kova wakati wakielekea jukwaa kuu.
Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan (katikati) akiteta jambo na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Dr. Alberic Kacou (kushoto) Kulia ni Mkuu wa Mabalozi wa EU nchini Filiberto Sebregondi.
Pichani
juu na chini Maandamano yakiwasili kwenye uzinduzi wa Mpango Mkakati wa
miaka mitatu wa Kuboresha Madawati ya Kijinsia na Watoto ndani ya Jeshi
la Polisi.

Taasisi mbambali zikiwa zimebeba mabango yenye jumbe mbalimbali za kutokomeza ukatili wa Kijinsia.

Meza Kuu ikipokea maandamano.
Burudani kwenye uzinduzi wa Mpango Mkakati wa miaka mitatu wa Kuboresha Madawati ya Kijinsia na Watoto ndani ya Jeshi la Polisi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akitoa hotuba yake kwa
Askari na Maofisa wa Jeshi la Polisi, Viongozi wa Mashirika na Taasisi
zisizo za Serikali pamoja na wakazi wa Temeke kabla ya kuzindua Mpango
Mkakati wa miaka mitatu wa Kuboresha Madawati ya Kijinsia na Watoto
ndani ya Jeshi la Polisi. Tukio hilo lilifanyika Kituo cha Polisi
Chang’ombe, Temeke jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Waziri Nchimbi
akatika hotuba yake alilishukuru Jeshi la Polisi pamoja na Viongozi wa
Mashirika na Taasisi zisizo za Serikali kwa kusaidia masuala ya
kupambana na unyanyasaji wa kijinsia nchini.
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Dr. Alberic Kacou

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Said Mwema akizungumza kwenye uzinduzi wa Mpango Mkakati wa miaka mitatu wa Kuboresha Madawati ya Kijinsia na Watoto ndani ya Jeshi la Polisi.
Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini, Balozi Filiberto Ceriani Sebregondi akizungumza kwenye hafla hiyo.
Balozi
wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan akizungumza kwa niaba ya nchi yake
ambapo amesema Ireland itaendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania
kwa ukaribu zaidi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizindua kitabu cha
Mpango Mkakati wa miaka mitatu wa kuboresha madawati ya Kijinsia na
Watoto ndani ya Jeshi la Polisi katika uzinduzi uliofanyika Kituo cha
Polisi Chang’ombe, Temeke jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Jeshi
la Polisi nchini (IGP) Said Mwema, wa pili kulia ni Mratibu Mkazi wa
Umoja wa Mataifa nchini Dr. Alberic Kacou, wapili kushoto ni Balozi wa
Umoja wa Ulaya nchini, Balozi Filiberto Ceriani Sebregondi na Kushoto ni
Kamanda wa Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.
Waziri Nchimbi akatika hotuba yake alilishukuru Jeshi la Polisi pamoja
na Viongozi wa Mashirika na Taasisi zisizo za Serikali kwa kusaidia
masuala ya kupambana na unyanyasaji wa kijinsia nchini
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akikionyesha kitabu cha
Mpango Mkakati wa miaka mitatu wa kuboresha madawati ya Kijinsia na
Watoto ndani ya Jeshi la Polisi katika uzinduzi uliofanyika Kituo cha
Polisi Chang’ombe, Temeke jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akimshukuru Mratibu
Mkazi wa Umoja wa Mataifa Dr. Alberic Kacou mara baada ya kuzindua Mpango
Mkakati wa miaka mitatu wa kuboresha madawati ya Kijinsia na Watoto
ndani ya Jeshi la Polisi ulio chini ya Umoja wa Mataifa.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akikata utepe kuzindua
ofisi ya Dawati la Jinsia na Watoto katika Mkoa wa Kipolisi Temeke.
Kushoto ni Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini, Balozi Filiberto Ceriani
Sebregondi.Waziri Nchimbi katika hotuba yake alilishukuru Jeshi la
Polisi pamoja na Viongozi wa Mashirika na Taasisi zisizo za Serikali kwa
kusaidia masuala ya kupambana na unyanyasaji wa kijinsia nchini.
Sasa imezinduliwa rasmi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (wa tatu kulia)
akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Jeshi la Polisi pamoja na
Viongozi wa Mashirika na Taasisi zisizo za Serikali baada ya waziri huyo
kuzindua Mpango Mkakati wa miaka mitatu wa Kuboresha Madawati ya
Kijinsia na Watoto ndani ya Jeshi la Polisi. Tukio hilo lilifanyika
Kituo cha Polisi Chang’ombe, Temeke jijini Dar es Salaam leo. Wapili
kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Said Mwema.
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Dr. Alberic Kacou akiteta jambo na mmoja wa maafisa wa Jeshi la Polisi mara baada ya uzinduzi huo.
Mratibu
Mkazi wa Umoja wa Mataifa Dr. Alberic Kacou akifanya mahojiano na
mwandishi wa habari wa redio wa BBC. Katikati ni Afisa Habari wa kitengo
cha Habari cha Umoja wa Mataifa Usia Nkhoma Ledama.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akiagana na Mratibu
Mkazi wa Umoja wa Mataifa Nchini, Dr. Alberic Kacou mara ya uzinduzi.









0 comments:
Post a Comment