Thursday, October 3, 2013

Hii Ndiyo Gari ya Baby Madaha aliyopewa huko Kenya

Tazama picha mpya za baby Madaha kwenye gari yake mpya aliyopewa huko Kenya. So Sexy…!
Hii ni gari aina ya Audi TT ambayo Baby Madaha amepewa na Label ya Muziki ya nchini Kenya ikiwa ni kama sehemu ya mkataba wake. Label hiyo imeingia mkataba wa Shilingi milioni 50 za Tanzania pia kupewa gari hilo la kutembea na kupangishiwa nyumba katika maeneo ya Kijitonyama, Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment