Wednesday, September 25, 2013

WAHUJUMU WA KAMPUNI YA MABIBO BEER WINES & SPIRITS LTD KIZIMBANI

Wafanyabiashara Ambele Mwasyeba (kulia) na Sebastian Kavishe wanaotuhumiwa kuhujumu Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits kwa kuuza bia ya Windhoek bila ya kuwa na kibali cha kampuni hiyo wakisindikizwa na askari polisi kuingia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo   kusomewa mashtaka yao. Kampuni ya Mabibo ndiyo pekee iliyoruhusiwa kisheria kuingiza na kusamabaza kinywaji hicho hapa nchini.


0 comments:

Post a Comment