Kamishna
Jenerali wa Magereza Nchini Tanzania, John Casmir Minja(wa tatu kulia)
akiwa amesimama katika Jukwaa Kuu kupokea heshima wakati Gwaride la
Askari wa Magereza wa Zambia likipita mbele ya Mgeni Rasmi katika
Maadhimisho ya Siku ya Magereza nchini Zambia Septemba 26, 2013 (wa
kwanza kushoto), Waziri wa Mambo ya Ndani wa Zambia(Mb) Mhe. Edgar
Lungu. Wengine ni Mkurugenzi wa Magereza anayesimamia Uzalishaji na
Urekebishaji katika Taifa la Sudani Kusini(wa kwanza kulia) akiwa na
Mkurugenzi Msaidizi wa Magereza.
Askari
wa Magereza wa Zambia wakipita mbele ya Mgeni Rasmi, Waziri wa Mambo ya
Ndani wa Zambia, Mhe. Edgar Lungu(hayupo pichani) katika Mwendo wa
haraka kama wanavyoonekana Kikakamavu wakati wa Maadhimisho ya Magereza
Day ya Zambia ambapo Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Tanzania, John
Casmir Minja hivi karibuni alihudhuria Maadhimisho ya Siku ya Magereza
huko Kabwe, Zambia.
Mkuu wa Jeshi la Magereza Zambia, Kamishna wa Magereza Percy Chato(wa
kwanza mstari wa kwanza) akiwa na Kamishna Jenerali wa Magereza
Tanzania, John Casmir Minja(wa kwanza mstari wa pili) wakiangalia Gwari
Maalum la Maadhimisho ya Siku ya Magereza nchini Zambia. Maadhimisho
hayo yamefanyika hivi karibuni Septemba 26, 2013 katika Chuo cha Mafunzo
ya Maafisa Magereza, Kabwe Zambia.
Mgeni
Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Magereza Nchini Zambia, Waziri wa
Mambo ya Ndani wa Zambia, Mhe. Edgar Lungu (katikati) akiwa katika picha
ya pamoja na Viongozi mbalimbali wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa
Zambia pamoja na Viongozi Waandamizi wa Serikali(wa tatu kulia) ni
Kamishna Jenerali wa Magereza Tanzania, John Casmir Minja( Picha zote na
Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
Mkuu wa Jeshi la Magereza Zambia, Kamishna wa Magereza Percy Kato( wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali wa Magereza Tanzania, John Casmir Minja(wa tatu kulia) alipotembelea Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Magereza Zambia kufuatia Mwaliko rasmi wa Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Magereza Zambia(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).

0 comments:
Post a Comment