Saturday, September 21, 2013

Elimu ya ujanjaujanja kwa waandishi sasa basi – MCT

Na Angela Semaya
WAMILIKI wa Vyuo vinavyotoa Elimu ya Uandishi wa Habari wametakiwa wasifanye ajizi kuwekeza kwenye vyuo vyao kwani muda wa kuanzisha vyuo kwa njia za ujanjaujanja umekwisha

0 comments:

Post a Comment