Saturday, August 31, 2013

LULU AZINDUA FILAMU YA “FOOLISH AGE” KWA KISHINDO MLIMANI CITY

8 Elizaberth Michael (Lulu) akizungumza na wageni waalikwa katika uzinduzi wa filamu ya Foolish Age iliyotengenezwa na Kampuni ya Proin Promotion chini ya Mwenyekiti  wake Jonson Lukaza ambaye ameweza kujitolea kwa hali na mali mpaka kufanikisha utengenezaji wa filamu hii na uzinduzi kwa ujumla, Uzinduzi huo unafanyika usiku huu.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE MLIMANI CITY.9
Waigizaji wa filamu na wageni mbalimbali wakifuatilia filamu ya Lulu. 10 
14
Mwenyekiti wa Kampuni ya Proin Promotion akizungumza na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa filamu ya Foolish Age.

1a
Lulu akilakiwa kwa mbwembwe na vijana walioandaliwa kwa kazi hiyo. 2Mwenyekiti wa kampuni ya Proin Promotion Bw. Jonson Lukaza katikati akizungumza na baadhi ya waigizaji wa filamu Rich Rich na mwenzake 3
Jonson Lukaza akizungumza na baadhi ya wageni wake waliohudhuria katika uzinduzi wa filamu hiyo 4
Muigizaji wa filamu Jacob Steven akizungumza na wageni wa kampuni ya Proin Promotion katika uzinduzi huo 5
Muigizaji Vicent Kigosi Ray akiwasili katika uzinduzi huo unaofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa Mlimani City.

0 comments:

Post a Comment