Kwa taarifa zilizopatikana kutoka kwenye vyombo mbalimbali vya habari,
zinasema kuwa msanii aliyekuwa akiugua kwa muda mrefu, mwigizaji mahiri Bongo,
Juma Kilowoko ‘Sajuki’ amefariki dunia leo katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili. Marehemu Sajuki alikuwa amelazwa katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili baada ya kuwa amedondoka jiji Arusha mwishoni mwa mwaka uliopita.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen








0 comments:
Post a Comment