Monday, January 21, 2013

HONGERA BOB JUNIOR KWA KUPATA MTOTO WA KIUME

Ikiwa ni siku ya furaha kwa Rais wa Masharobaro Bob Junior kupata mtoto wa kiume na kumpa jina la Baba mzazi wa Bob Juniour yaana anaitwa RUMMY RAHEEM RUMMY (RRR) aka Triple R

0 comments:

Post a Comment