![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wasanii waalikwa kutoka Tanzania Joseph Haule 'Profesa J' (kushoto) na Mzee Yusuf katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa Oktoba 5, 2012. |
0 comments:
Post a Comment