
Asalaam Aleikhum Guyz…..Hii Ngoma Mpya Ya Queen Darleen
inaitwa KOKORO…….Imefanywa Na Producer Tuddy Thomas…… Video Inafanywa Wiki Hii
Na Adam Juma (Visual Lab Next Level) Hii Ni Ngoma Yakw Ya 5 Tokea Ameanza
Kufanya Muziki Mwaka 2000 Ya Kwanza Ilikuwa Wajua Ft. Alikiba, Ya Pili Ilikuwa
Cheza Nami Ft. Kgt, Ya 3 Ilikuwa Ilikuwa
Kupendapenda Ft. Sho daddy, Ya 4 Ilikuwa Maneno Manenio Ft. Dully Sykes Na
Ilifanikiwa Kuchukua Tuzo ya Best Dancehall/Ragga Kupitia Kili Awardz 2011-2012
Na Kokoro Ndio Single Ya 5…… Tnxx 4 Yah Support & God Bless U
Its CEO Of G-RECORDZ/G-PROJECTS & SHAROBARO RECORD TZ
Guru Ramadhani Nanji (Dj G-Lover)
Queen Darleen 4n #+255715634393
0 comments:
Post a Comment