Kutoka
Uganda, Leo Hii nimemdaka Msanii wa Kike ambaye anaflow HIP HOP kama
hana Akili Nzuri. Mikwaju ambayo ameifanya "Baridah" sana Mwanalady
huyu, ni Pamoja na "This is How We Do It", pamoja na "Make You Dance"
akiwa amemshirikisha "Sean Kingston" wa Kenya MAD TRAXX.
Na Hivi ndo Vitu Vitano anavyovipenda Mrembo huyu anayejua kuhimili Staili ya KIGUMU....
1. Msosi.
3. MKWANJA / CHAPAA/ MONEY/ CASH/ BILL KILLER.
Na Hivi ndo Vitu Vitano anavyovipenda Mrembo huyu anayejua kuhimili Staili ya KIGUMU....
1. Msosi.
2. LIPSTIC.

3. MKWANJA / CHAPAA/ MONEY/ CASH/ BILL KILLER.

4. HOLY BIBLE.

5. FRIENDS.

0 comments:
Post a Comment