Thursday, October 18, 2012

BAUCHA AWATAKA WASANII WAPYA KUJIPANGA...!!

 
Alikiba akiwa na Baucha
 
 
Wakongwe wa mziki wa kizazi kipyaa wameamua kurudi kwenye kazi yao kwa madai wasanii wengi wanachipukia swaga rangi nyingi mpaka macho yanaumia, maneno hayo aliyasema c.e.o wa baucha rec ambae alikuwa location akiwa anafanya ngoma yake mpya baada ya kukaa kimya zaid ya miak 7.
ARTIST….BAUCHA feat: ALI KIBA
TRACK….KELELE
STUDIO……. BAUCHA RECORDS..
PRODUCER…JOSE A.K.A SUMU.
VIDEO TUMEFANYA NA EXTREEM.
NA INATARAJIWA KUITOA SOON TU IPO KWENYE MAADALIZI YA MWISHO KUITOA



0 comments:

Post a Comment