Sunday, September 2, 2012

MWANZA SERENGETI FIESTA 2012 BHAASSSSS


Mzee wa Bao la Kete 'AT' akiangusha burudani






Timu nzima ya cloud media ilikuwa haina tatizo na mtu na ilijipanga vizuri kabisa serengeti fiesta mwanza.
Lile Nyomi sasa pale kati ndani ya CCM Kirumba likishuhudia burudani ya Serengeti Fiesta 2012
Bob Junior nae alikuwepo kusababisha Burudani ya kutosha

Alitaka wamchumu na kumkiss eti Mwaaahhhh!!!
Mwasiti nae hakuwa nyuma Kuimba Mapito
'Kama vipi Baadae'... Ommy Dimpoz
Profesa Jay

Roma na warembo pale kati

0 comments:

Post a Comment