Producer kutoka B hits anayejulikana kwa jina la PanchoLatino kuna
nyimbo ambayo amefanya hivi karibuni na msanii katika studio hiyo ya B
hits na inavyosemekana kwamba producer huyu ame sample nyimbo hiyo kwa
msanii anayetokea pande za state anayefahamika kwa jina la Chris
brown.Sasa mashabiki wa muziki baada ya kusikia hivi waliamua kuingia
katika mtandano unaojulikana kwa jina la twitter na kuanza kumsema
producer huyu baada ya ku sample nyimbo lakini baadaye Pancho Lation
aliamua kurudia online na kufunguka hebu angalia hapo chini zaid
0 comments:
Post a Comment