Mwaka
1990, mwezi na siku kama ya leo Mrs. Abraham Sepetu ama (Mama Sepetu)
alipata bahati ya kujifungua mtoto wa kike ambae alimtunuku jina la
Wema Abraham Sepetu, Mtoto ambae Nyota yake ilianza kama masihara tu
pale aliposhinda taji la Miss Tanzania 2006, kisha baadae kuingia
katika Muvie Industry kama utaniutani vile na ghafla kuwa DIVA wa
Tasnia hiyo, na licha tu ya udiva pia kuwa ICON wa Tanzania.Siku hii ya
leo ya tarehe 28/09/ anazaliwa upya na kutimiza miaka 22.Honestly nina
furaha sana na kila sababu yakusema "Happy Birthday Sepetu wa Sepetunga"....coz
kiukweli ni mtu ambae kwa namna moja au nyinge anamchango mkubwa sana
katika Mafanikio yangu hadi kufikia hapa nilipo, Sikuzote amekua
akinipa Moyo, Motisha,Nguvu na kunisupport kwa hali na mali ili tu
niweze kufika Mbali zaidi..toka kwenye "Upenzi" hadi leo kwenye "Cousins" mixer "Ushemlake"
ni mbali sana nimetoka nae...narudia tena kusema nina BOOooonge la
furaha na kila sababu ya kumwambia "Happy birthday Sepetu wa sepetunga"
wish you all the best mama.....Maisha marefu yenye amani na Mafanikio
tele..........wote tuseme Aaaamen
0 comments:
Post a Comment