Kuna uwezekano mkubwa, AY na Mwana FA wamefungua kesi ya masuala ya ukiukwaji wa haki miliki za kazi zao.
Mwanasheria maarufu nchini, Alberto Msando amepost picha Instagram
akiwa kwenye mahakamu kuu ya Tanzania akiwa na rappers hao. “At the High
Court of Tanzania, Dar Es Salaam. #UsijeMjini #DakikaMoja #Tigo
#CopyrightsInfringement #stoppingwizi @aytanzania @mwanafa,” ameandika
Msando.
Kuna uwezekano kuwa nyimbo zao Usije Mjini na Dakika Moja zikawa
zimetumiwa na kampuni hiyo bila ridhaa yao. Makosa ya kukiuka haki miliki
kwenye kazi za sanaa huadhibiwa zaidi kwa kwa faini.
SOURCE: Bongo5
Tuesday, May 10, 2016
AY na Mwana Fa kuishitaki kampuni inayotumia nyimbo zao bila ridhaa?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment