"The Refix ni kwamba nai re fix hiyo nyimbo ambayo ilikuwa hit,
naitengeneza kwenye mahadhi ya electro pop au electro house" amesema
Lamar
Project hiyo mpaka hivi sasa imeshakamilisha ngoma ishirini, n akwa
taratibu walizojiwekea ni kutoa ngoma kila mwisho wa wiki na baadae
kufanyika kwa beach party huku tukiruka na ngoma zetu za kibongo.
Credit: Djfetty.blogspot.com








0 comments:
Post a Comment