List
Ya washiriki wa tuzo za Kora mwaka 2014 imetoka kwa wiki hii na imekuwa
mbaya zaidi kwa watanzania kwani mtu ambaye
anaiwakilisha Tanzania katika tuzo hizo ameporomoka kutoka nafasi ya 2 hadi
nafasi ya 8. Kikubwa Watanzania tuendelee kumpigia kura Diamond Platnumz ambaye amebeba bendera ya Tanzania katika Tuzo hizi. Unachotakiwa kufanya ni kwenda kwenye ukurasa huu wa Kora Awards kisha katika picha utakayoikuta andika jina la Diamond Platnumz ili kufanikisha apande zaidi na hatimaye kupata tuzo.







0 comments:
Post a Comment