Tuesday, May 6, 2014

Airtel Yazindua LUKU OFA kupitia huduma ya Airtel Money






“ili kupata huduma ya Airtel Money mteja anatakiwa kupiga *150*60#  na kuunganishawa na orodha ya Airtel Money itakayokuwezesha kufanya miamala mbalimbali ikiwemo kununua LUKU

Airtel Tanzania inatoa huduma ya fedha kwa njia ya huduma ya Airtel Money ambapo imekuwa msaada mkubwa katika maisha ya watanzania.  Jitihada  za kuwezesha upatikanaji wa huduma za Airtel Money nchini umeendelea kuwa wa mafanikia  ambapo  Airtel imeweza kuwa na mawakala wa Airtel Monye zaidi ya 35,000 nchin nzima na kuwezesha upatikanaji wa huduma za kifedha na manunuzi ya bidhaa mbalimbali kuwa rahisis na ufanisi zaidi.  Huduma hii imekuja kwa wakati muafaka hivyo napenda kuwahamasisha wateja kuendelea kufurahia huduma hii ya Airtel Money”.aliongeza Naligingwa
Huduma ya Airtel Money inawawezesha wateja wake kufanya malipo ya ankra za bidhaa na huduma kama vile . DAWASCO, LUKU, USA visa, DSTV,  pamoja na kununua muda wa maongezi, kununua vifurushi vya yatosha , kutuma na kupokea  pesa kwa nusu gharama na Bure kupitia vifurushi vya bure pack  pamoja na huduma nyingine nyingi

0 comments:

Post a Comment