Tuesday, April 8, 2014

NAPE AWASILI KIGOMA KUONGEZA NGUVU ZIARA YA KINANA

 Katibu wa Uenezi na Itikadi wa CCM, Nape Nnauye akisalimiana na kikosi kazi cha wanahabari walio kwenye msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana baada ya kuwasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma, tayari kwa ziara ya siku 5 mkoani humo. PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG

 

0 comments:

Post a Comment