Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisaidiana na watu walio kwenye
msafara wake kuweka mawe barabarani eneo ambalo magari ya msafara huo
yalikwama katika Barabara ya Namanyere Wampembe, wilayani Nkasi, Mkoa wa
Rukwa. Kinana alikuwa anakwenda katika Kata ya Wampembe Jimbo la Nkasi
Kusini kufanya mkutano wa hadhara akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai
wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani
ya CCM.
 |
| Viatu na suruali aliyovaa Kinana vikiwa vimechafuka wakati wa harakti za kushiriki kuyanasua magari katika barabara hiyo |
Kinana akishirikiana na wananchi kulinasua
gari la Polisi lililokwama katika barabara hiyo mbovu
Kinana akishiriki kuweka mawe kwenye barabara hiyo
 |
| Baadhiyanahabari
walio kwenye msafara wa Kinana, Elisha Eliya wa TBC (kushoto) na Halima
Mlacha wa Habari Leo (katikati) wakiungana na wananchi kubeba mawe kwa
ajili yakweka eneo lililoharibika ili mari yaiyokwama yaweze kupita |
Wananchi nao wakisaidia kubeba mawe
Kinana akiwapiga picha wanahabri waliokuwa wamechoka katika harakati za kuiweka sawa barabara
 |
| Wananchi wa Kijiji cha Wampembe wakipiga makofi kumlaki Kinana |
Wananchi wakisaidia kubeba mawe kwa ajili a kuweka eneo magari yalipokwama
 |
| Add caption |
Kinana akihutubia mkutano wa hadhara katika Kata ya Wampembe
Moja ya magari yaliyo kwenye msafara likipita eneo lenye utelezi
Baadhi ya watu walio kwenye msafara wa Kinana wakiangalia magari
yakipita kwenye eneo lenye utelezi baada ya kuamriwa kushuka ili magari
yapite kirahisi katika eneo hilo.
Gari la polisi likisukumwa eneo hilo korofi
Kinana akipita kando ya eneo korofi lililosababisha magari kukwama
katika barabara hiyo, ambayo Kinana ameahidi ujnzi wake kuuhamishia
Tanroads badala ya sasa kusimamiwa na Halmashauri ya Nkasi yenye uwezo
mdogo wa kifedha za kujengea barabaa hiyo
 |
| Wananhi waliokuwa
kwenye msafara wa Kinana wakiangalia mti wa Mnyangenyange unaodhaniwa
kuwa ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume na za kike |
Mjumbew NEC CCM,Ali Karume akihutubia katika kijiji cha Ntemba wilayani Nkasi
Kinana akihutubia katika Kijiji cha Ntemba wilayani Nkasi,usiku baada y
wananci kuusimamisha msafara wake uliokuwa ukitokea Kata ya
Wampembe.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO
0 comments:
Post a Comment