Kwa mujibu wa Blogs
za Kenya wimbo wa Rapper Nikki Mbishi ‘Excuse Me Miss’ unapakuliwa
zaidi kwenye mitandao yao. Single hii ya Nikki Mbishi ilitoka mara Ya
Kwanza kwenye mitandao na kuchelewa kuanza kuchezwa kwenye radio sababu
ya baadhi ya maneno yaliyotumika kwenye wimbo huo.Mtandao moja Kenya umesema wimbo huu upo kwenye nyimbo 10 bora za Africa Mashariki Mwezi huu, Fahamu kuwa Excuse Me Miss ya Nikki Mbishi haina undugu wowote na wimbo wa Jay Z – Excuse Me Miss.
Wimbo Excuse Me Miss umefanya vizuri zaidi mitaani kuliko kwenye Radio.







0 comments:
Post a Comment