Vodacom Foundation jana imezindua
ripoti ya Connected Women ikilenga namna ambayo Teknologia ya simu
imeweza kusaidia matibabu ya Fistula kwa wanawake nchini Tanzania kwa
ushirikiano na Hospitali ya CCBRT.







Mgeni rasmi Mh. Mama Salma Kikwete akiingia ukumbini.

Tanzania House of Talent (THT) nao walikuwepo kutoa burudani katika hafla hiyo.

Balozi Mh. Maajar akimkaribisha Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo.

Miongoni
mwa wanawake ambao wameweza kutibiwa Elizabeth akielezea namna
Teknolojia ya simu imewezeza kufanikisha matibabu yake.

Mama Salma Kikwete akitoa Hotuba katika uzinduzi huo








0 comments:
Post a Comment