Friday, December 20, 2013

SOMA HAPA: Producer aliyetengeza wimbo mpya wa Rick Ross adaiwa kuiba beat ya wimbo huo

SIku ya Alhamisi msanii Rick Ross aliachia ngoma mpya ambayo amemshirikisha Jay Z inayoitwa 'The Devil IS A Lie', ambapo ilitambulishwa imetengenezwa kwa producer K.E. on the track.

Lakini kupitia mtandao wa Twitter, aliibuka producer Major Seven na kudai kuwa beat ya ngoma hiyo imeibiwa kutoka kwake na K.E on the track. Major Seven amemuita K.E kuwa ni mwizi wa kuaminika na pia alisema ataachia clip ya video inayoonyesha akitengeza beat hiyo ili kuthibitisha kile anachokisema.

0 comments:

Post a Comment