Friday, December 20, 2013

Hatimaye Chuck Norris ajibu mapigo ya Van Damme kwa kutengeneza tangazo la kusimama juu ya ndege 2 lenye mfano wa mti wa Chrismas

 
Mara ya kwanza muigizaji mkongwe Jean-Claud 'Van Damme' alipotengeneza tangazo la Volvo kusimama katikati ya magari mawili makubwa ya Volvo juu ya side mirrors,mguu wa kushoto ukiwa kwenye gari moja na wa kulia kwenye lingine habari  iliwashangaza watu wengi sana huku wengi wakijiuliza maswali.

0 comments:

Post a Comment