KellyRowland ameripotiwa kuvishwa pete ya uchumba na meneja wake
aitwaye Tim Witherspoon.
Rumors za kuvishwa pete ya uchumba na
meneja wake huyo zilisambaa baada ya mwanamuziki huyo wa kundi la zamani la
Destiny Child, kuonekana na pete yenye kito cha almasi katika video aliyoiweka
katika mtandao wa Instagram. habari ambazo pia zimethibitishwa na Us Weekly.
A source for the mag says, “She has
been showing [the ring] off to friends and family and is very happy. She
wants to…enjoy [it] and celebrate for a bit longer.”
0 comments:
Post a Comment